Ushauri juu ya matumizi ya Whiskey (Grants) au Konyagi

Nilikuwa nataka niache hii kitu,kumbe ni poa sana kwa afya ngoja mchana wakati wa lunch nipate angalau pegi.
 
naomba kufahamu bei za hizo whiskeyz....tukianza na grants
 

kama anaimuda hata Captain morgani au hii zinafaa!
 

Attachments

  • 1438782695018.jpg
    30.2 KB · Views: 291
hakuna pombe inapunguza unene zote zinaongeza. ni kweli zinapunguza bad cholesterol kwenye damu. ukitumia kiasi kilichopendekezwa inaweza pia kupunguza presha ila ukizidisha presha inakuhusu.
nakushauri kama haunywi hotel kama kilimanjaro usinywe pombe kali za nje, utakuja kunywa feki. mi nakushauri unywe wine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…