nampendayeye
Senior Member
- Mar 24, 2015
- 125
- 71
Ni maziwa gani mazuri ya mtoto wa umri wa miezi miwili.
Kwa maana wife anataka kumwanzishia mtoto maziwa kwani likizo ya uzazi ndo inaisha.
Naomba msaada wenu wazazi wenye uzoefu na maziwa ya mtoto.