Ushauri juu ya maziwa ya mtoto wa miezi miwili na pointi.

Ushauri juu ya maziwa ya mtoto wa miezi miwili na pointi.

Baadae likiwa zezeta unaanza kulalamika kalogwa, nyonyesha mwanao wewe acha kujifanya bize af uje umpe shida mwanao, daily utakuwa unampeleka hosp
 
Mtoto anapaswa kunyonya for 6months exclusive bila kupewa ata maji...the mother can express breastmilk na mtoto apewe...after 6months unaeza anza supplementary feeding...infant formulas are not the best
 
Moja ya matatizo ya watu wengi ni kujibu maswali ambayo hawajaulizwa. yeye kauliza maziwa mazuri ya kopo. mtu anakuja kumwambia amnyonyeshe ya mama kwa nini anataka ya kopo wakati.. blah blah blah.... hayo ni majibu ya swali ambalo hajauliza. mjibu swali ambalo ameuliza. hayo mengine kama akkwambia anaomba ushauri ndo utampa. tusijifanye tunajua sana kumbe tunaonesha hatujui ktu. maziwa ambayo mimi nlitumia kwa mtoto wangu na yakawa hayana tatizo kwake ni INFACARE Haya yalimkuza mtoto wangu ktk kipind ambacho mama yake maziwa hayatoki na hata baadaye hayakuwa ya kutosha sana so nikawa nampa ya kopo na alikuwa na afya nzuri sana.
 
Back
Top Bottom