Greetings of the day Ladies and Gentlemen,
Nina changamoto moja naomba ushauri wenu wanajamvi nina mke wa ndoa ya miaka 5 lakini kwa miezi ya hivi karibuni amekua hapendi kupika chakula kwa ajili ya familia yaani mpaka alazimishwe na pia hataki kushiriki tendo la ndoa ukimuuliza hana majibu yenye mashiko anaishia kusema yuko sawa.
Sasa sioni umuhimu wa yeye kuwepo kwangu kama majukumu ya msingi hawezi yatimiza. Nawaza nimrudishe kwao na kuanza utaratibu wa talaka nitakua nimekosea?
Je Kisheria taratibu za talaka zinaruhusu?