Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alee tu,waanzie hapo.kwani kuoa mwanamke mwenye mtoto atakufa?haiishagi hioHabari zenu wana MMU!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna jamaa yangu hapa yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake yapata miaka 6 hivi.
Sasa jamaa alipanga na mpenzi wake kwamba binti akimaliza chuo moja kwa moja afikie alipopanga msela asirudi kwao ili waendeleze mahusiano yao wakiwa kwa msela kwani wazazi wao walikua wanafahamu, basi msela kajipanga ghetto ili demu wake akija aje akute fresh lakini cha kushangaza siku dem anakuja kaja na mtoto mdogo wa miezi tisa.
Alf anamwambia msela alibeba mimba kwa bahati mbaya akaogopa dhambi ya kutoa.
Jamaa yupo njia panda haamini.....
Mbaya zaidi kuna ada alilipa wakati binti yupo chuo na pesa ndogo ndogo alkua akimtumia.
Kaja kuniomba ushauri amtimue dem au maana kampa siku tatu asimkute maana kamsusia hadi ghetto msela karudi kulala kwao.
Binti nae anadai baba mwenye mtoto kamkataa.
Kuna kipindi dem hakurudi kwao akiisingizia anasubiri amalize kabisa maana alkua kabakiza mwaka wa mwisho na ndo kipindi kumbe alkua analea mimba
Mi nimemshauri amtimue tu maana kesho hakawii kuleta mengine.
Kwa hiyo vinapotokeaga hivyo vishawishi akili huwa zinabaki nyumbani kabatini ? Kama mwanamke anazijua vizuri siku zake anashindwaje kupambana na vishawishi ? Tatizo kubwa naliona kwa dada zetu la kutokujua siku zao.Upole sio shida vishawishi ni vingi na binadamu tumeumbiwa tamaa miaka6 na ukute hawakua karibu kivile kuchapiana nje ipo hio
Vp kama jamaa yako ndo angekua na mtt huyo mdada akakuomba ushauri ungemshauri nn?!
Wewe jamaa si ndiye ulianzisha Uzi wa mazingira hatarishi ya kufanya mapenzi?
Mwenzako @rikyboy akaja na kula tunda kimasihara?
Sasa matokeo yake ndiyo kama haya mimba zisizotarajiwa.
Mzee huu ni uzembe uliotarajiwa maana njemba haina maamuzi
Mwambie kitanda hakizai haramu
Aendelee kulea mkojo wa mwanaume mwenzake
Alinogewa na utamu huyo msimlaumuKwa hiyo vinapotokeaga hivyo vishawishi akili huwa zinabaki nyumbani kabatini ? Kama mwanamke anazijua vizuri siku zake anashindwaje kupambana na vishawishi ? Tatizo kubwa naliona kwa dada zetu la kutokujua siku zao.
Pole sanaHabari zenu wana MMU!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna jamaa yangu hapa yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake yapata miaka 6 hivi.
Sasa jamaa alipanga na mpenzi wake kwamba binti akimaliza chuo moja kwa moja afikie alipopanga msela asirudi kwao ili waendeleze mahusiano yao wakiwa kwa msela kwani wazazi wao walikua wanafahamu, basi msela kajipanga ghetto ili demu wake akija aje akute fresh lakini cha kushangaza siku dem anakuja kaja na mtoto mdogo wa miezi tisa.
Alf anamwambia msela alibeba mimba kwa bahati mbaya akaogopa dhambi ya kutoa.
Jamaa yupo njia panda haamini.....
Mbaya zaidi kuna ada alilipa wakati binti yupo chuo na pesa ndogo ndogo alkua akimtumia.
Kaja kuniomba ushauri amtimue dem au maana kampa siku tatu asimkute maana kamsusia hadi ghetto msela karudi kulala kwao.
Binti nae anadai baba mwenye mtoto kamkataa.
Kuna kipindi dem hakurudi kwao akiisingizia anasubiri amalize kabisa maana alkua kabakiza mwaka wa mwisho na ndo kipindi kumbe alkua analea mimba
Mi nimemshauri amtimue tu maana kesho hakawii kuleta mengine.
Wewe, huyo jamaa pamoja na binti ni wapuuzi.Habari zenu wana MMU!