Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Umeshaanza chuo dogo?
Unakosea hutaeza ku move on. Mwondoe kwenye picture yako hapo utaweza kupenda mwingine.
yeaah nshaanza npo second year...Thanks una ushauri mzurii
 
Utachezewa makalio kwakuwa huyo ni dem wa mtu mwingine,kama ndiyo mchezo wako unatafuta kuchezewa kwa nguvu,endelea
 
Muda utaongea kwani wengi walikua hivyo lakini sasa imebaki stori hivyo wacha muda uongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…