Ushauri: Kanipiga na mkoba wake akaniumiza alafu ananiomba msamaha

Uwii.. Shukuru yy kakupga na mkoba.. Asee.. Mm ningekuvunja shingo[emoji23]
 
Msamehe tu maana alifanya hvyo kwa kukupenda angekuwa hakupendi asingeweza Kuwa na wivu na wewe
 
Man dogo xn hlo msamehe alkuwa analinda mzgo wke bx kakosea approach 2
 
Mkate bonge la kibao kisha mwambie mi sijaribiwi na sitajaribiwa.
 
Wa stendi mwambie shemu akununulie miwani ya mbao. Kila mkitoka out uwe unaivaa.
 
Na yeye si atengeneze 0713 iwe kubwa km za wenzie!!kuna maduka kkoo nasikia wana dawa za kupaka then limzigo linaumuka haswa haswa mmmmm(shk kipoozeo)
 
Mi wakati unaendelea kushangaa ningekufwata taratibu na kukwambia baby wakati unashangaa nimekutana na ex wangu kanipa namba yake mpya
 
Wenzio huwa tunazuga unainama kama vile unafunga kamba ya kiatu kumbe unacheki mzigo sasa wew umegeuka kiboya ndio maana ukapigwa
 
Poleeee mi hua naruhusu aangalie tu,ila nami kikipita kitu aniache niangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…