Ushauri: Kanisa lidhibiti watu wa kwenda kumwona Father Kitima, Ili apone haraka

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,

Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.

Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine kusababisha ugonjwa wa mgonjwa,akienda kumwona mgonjwa, mgonjwa hununa, hofu humzidia Kisha Hali yake huzorota Kila kukicha.

Nashauri watu special pekee waliofaulu uchunguzi, waende kumjulia Hali Nabii wetu Father Kitima.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Karibuni 🙏

Soma News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
 
Bado atapigwa na zongo hapohapo. Mtu anakuja anapiga kope tu ugonjwa unaingia
 
Watu wa chama tuwala lazima wafike, penda usipende.
 
Wametajwa kwenye Uzi huu watu wa chama tawala?

Mzee Wazioba kwa mfano,

Hawezi kuwa threat kwa afya ya mgonjwa zaidi ya kumuongelea mgonjwa faraja na matumaini.
 
Mfano, mtu kama Lucas Mwashambwa ,Tlaatlaah ,chiembe , kipara kipya na wengine wa aina hiyo,

Wakimuangalia mgonjwa wako tu, tegemea Hali ya mgonjwa kuzorota.
hakuna haja ya unafiki na kujipendekeza gentleman,
ni vizuri madaktari wakapewa fursa na nafasi ya kumuhangaikia majeruhi ili hatimaea apate nafuu na kupona kabisa majeraha mabaya aliyoyapata.

hiyo ingine ni nonsense :putinWalk:
 
Ni kweli kabisa,

Watu aina yako wenye Roho ya uchawi ndani na macho ya Giza wawekwe mbali, wasije mroga mgonjwa wetu KUPITIA macho!
 
Salaam, Shalom!

Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,

Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.

Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine kusababisha ugonjwa wa mgonjwa,akienda kumwona mgonjwa, mgonjwa hununa, hofu humzidia Kisha Hali yake huzorota Kila kukicha.

Nashauri watu special pekee waliofaulu uchunguzi, waende kumjulia Hali Nabii wetu Father Kitima.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Karibuni 🙏
Na siyo kudhibiti tu,waweke ulinzi mkali hao vijana wa Afande Mafwele wanaweza kwenda kummalizia huko.huko.hospitalini.
 
Hawawezi labda wajaribu uchawi wa macho ambao pia nimeshauri wateue watu maalum pekee.
 
Salaam, Shalom!

Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,

Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.

Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine kusababisha ugonjwa wa mgonjwa,akienda kumwona mgonjwa, mgonjwa hununa, hofu humzidia Kisha Hali yake huzorota Kila kukicha.

Nashauri watu special pekee waliofaulu uchunguzi, waende kumjulia Hali Nabii wetu Father Kitima.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Karibuni 🙏
Mnamkweza nyau asiye na umuhimu wowote na nchi yetu. Nyie kwl ni mazuzu
 
Back
Top Bottom