Wauguzi na ndugu na jamaa wa mgonjwa wahakikishe WEWE na watu aina yako waishie huko getini.Bado atapigwa na zongo hapohapo.
Wamebeba ndani yaoMfano, mtu kama Lucas Mwashambwa ,Tlaatlaah ,chiembe , kipara kipya na wengine wa aina hiyo,
Wakimuangalia mgonjwa wako tu, tegemea Hali ya mgonjwa kuzorota.
Wametajwa kwenye Uzi huu watu wa chama tawala?Watu wa chama tuwala lazima wafike, penda usipende.
hakuna haja ya unafiki na kujipendekeza gentleman,Mfano, mtu kama Lucas Mwashambwa ,Tlaatlaah ,chiembe , kipara kipya na wengine wa aina hiyo,
Wakimuangalia mgonjwa wako tu, tegemea Hali ya mgonjwa kuzorota.
Ni kweli kabisa,hakuna haja ya unafiki na kujipendekeza gentleman,
ni vizuri madaktari wakapewa fursa na nafasi ya kumuhangaikia majeruhi ili hatimaea apate nafuu na kupona kabisa majeraha mabaya aliyoyapata.
hiyo ingine ni nonsense
Na siyo kudhibiti tu,waweke ulinzi mkali hao vijana wa Afande Mafwele wanaweza kwenda kummalizia huko.huko.hospitalini.Salaam, Shalom!
Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,
Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.
Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine kusababisha ugonjwa wa mgonjwa,akienda kumwona mgonjwa, mgonjwa hununa, hofu humzidia Kisha Hali yake huzorota Kila kukicha.
Nashauri watu special pekee waliofaulu uchunguzi, waende kumjulia Hali Nabii wetu Father Kitima.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ.
Karibuni ๐
Hawawezi labda wajaribu uchawi wa macho ambao pia nimeshauri wateue watu maalum pekee.Na siyo kudhibiti tu,waweke ulinzi mkali hao vijana wa Afande Mafwele wanaweza kwenda kummalizia huko.huko.hospitalini.
Tumeshaweka ulinzi wa kiroho mapema,Bado atapigwa na zongo hapohapo. Mtu anakuja anapiga kope tu ugonjwa unaingia
Mnamkweza nyau asiye na umuhimu wowote na nchi yetu. Nyie kwl ni mazuzuSalaam, Shalom!
Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,
Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.
Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine kusababisha ugonjwa wa mgonjwa,akienda kumwona mgonjwa, mgonjwa hununa, hofu humzidia Kisha Hali yake huzorota Kila kukicha.
Nashauri watu special pekee waliofaulu uchunguzi, waende kumjulia Hali Nabii wetu Father Kitima.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ.
Karibuni ๐
Amina ๐๐น๐ฟIla johnthebaptist aruhusiwe kumwona mgonjwa,
Mzee huyu huwa hana nafsi iliyonyongorota!
Ni mtu safi.
Zuzu mume wako anayeshindwa kukutia mimba mwaka wa tano huu.Mnamkweza nyau asiye na umuhimu wowote na nchi yetu. Nyie kwl ni mazuzu