Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
Tuko Pamoja kaka.Hongera mkuu,wajuzi watakujuza,nami nijifunze kitu hapa..
c-class 180Model ya Benz?
Usiongee kwa sauti.Uhakiki wa mali ulishafanyiwa lakini?
Hiyo ya kwanza ni Brevis kama sija kosea, hiyo kwa mwendo iko vizuri ila kwa mafuta ni utumiaji mkubwa sana.hiyo ya pili ni mardesc compresso yenyewe pia kwa mwendo iko vizuri sana ila upande wa spea ndio iko juu kwakuwa benz ni kama nissan ni magari ambayo huwa hayaendi kwa mfumo wa kuchongesha vipuri,yenyewe yanataka kikiharibika badilisha weka kingine nalo litadumu sana.
Ya kwanza me naona ni toyota crownHiyo ya kwanza ni Brevis kama sija kosea, hiyo kwa mwendo iko vizuri ila kwa mafuta ni utumiaji mkubwa sana.hiyo ya pili ni mardesc compresso yenyewe pia kwa mwendo iko vizuri sana ila upande wa spea ndio iko juu kwakuwa benz ni kama nissan ni magari ambayo huwa hayaendi kwa mfumo wa kuchongesha vipuri,yenyewe yanataka kikiharibika badilisha weka kingine nalo litadumu sana.
Chukua Compressor hiyo achana na huo uchafu wa Toyota.
Upo Sahihi mkuuKama wewe sio lofa, yaani una ukwasi wa kuhudumia gari go for Benz. Hutajutia uamuzi wako. Lakini I insist uwe na uwezo wa kulihudumia sio unalipeleka kwenye magarage ya miembeni. Lipeleke kwa mafundi wa magari ya Ujerumani.
Kama una uwezo mzuri kifedha, go for S-Class, Hili ndio gari nampa salute Benz