Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
- Thread starter
- #21
Bandarini c-class ni 7-9mil ambayo inalingana kabisa na Crown. labda gharama za maintanance nazo nadhani sio za kutisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kaka, ushauri mzuri.Mm nakushauri uchukue ya kwanza ambayo ni toyota Crown Athlete.
Kwa sababu hizi, nikirejea kwenye thread yko, unadai kwamba hiyo ndio gari yako ya kwanza ya luxury.
Siku zote ukitaka uvipende vitu vizuri basi sharti udumu navyo na pia visikuchoshe na wala ww mwenyewe usivichoshe.
Pili Toyota ni rafiki wa mazingira yetu ya kiafrica, nikiwa na Maana kwmb, kwa upande wa spare zake ni reliable, service yake unaweza kuifanya kwa urahisi na pia kwa muundo wa ndani wa athlete ni mzuri Mara mia ya Benz.
Shida ya benz ni kwmb vifaa vyke kwanza ni mama mkwe, Service yke sio lelemama, ukimpata fundi wa kiaina unaweza ukajikuta umeingia loss kubwa
Ndugu kwema?? Upo kweli maana naona kimya.Tuko Pamoja kaka.