Sawa ila chaguo langu si kulima nyanyaNakushauri ununue tractor, safari ya kutoka mwanza mpaka ufike kwenu utakuwa umelima sana hapo njiani. Ukifika unauza tractor unaongeza hela unanunua canter, utabeba mizigo mingi sana wakati unatoka kwenu mpaka ufike mwanza na hiyo canter. Ushauri tu lakin
OK nimekuelewaSubaru nzuri, BMW ni speed, NGUMU..!
Maintenance yake ni kazi
Binafsi naipenda Subaru inakifua kikubwa ni rahisi kuichezea... Mambo kama kuiongezea nguvu etc.
Mimi mtu wa mbio kwa hiyo Subaru comes first na gari kama Evo, Supra,Skyline & Golf Mk series (4,5,6&7) .
Kingine mimi sio shabiki sana wa gari za kijerumani ukiondoa hiyo VW Golf Mk series.
Gari za kijapani zimetulia sana Mkuu.
Chukua SUBARU mkuu achana na Altezza gari za mabishoo hizo.Okay [emoji108] mkuu! Nataka Sports Car, ila bado cjajua ka bora Subaru au Altezza.