Ushauri kati ya Subaru 1.5L Na BMW 1 series

Ushauri kati ya Subaru 1.5L Na BMW 1 series

Nakushauri ununue tractor, safari ya kutoka mwanza mpaka ufike kwenu utakuwa umelima sana hapo njiani. Ukifika unauza tractor unaongeza hela unanunua canter, utabeba mizigo mingi sana wakati unatoka kwenu mpaka ufike mwanza na hiyo canter. Ushauri tu lakin
 
Sawa ila chaguo langu si kulima nyanya
 
Binafsi naipenda Subaru inakifua kikubwa ni rahisi kuichezea... Mambo kama kuiongezea nguvu etc.
Mimi mtu wa mbio kwa hiyo Subaru comes first na gari kama Evo, Supra,Skyline & Golf Mk series (4,5,6&7) .
Kingine mimi sio shabiki sana wa gari za kijerumani ukiondoa hiyo VW Golf Mk series.
Gari za kijapani zimetulia sana Mkuu.

Okay [emoji108] mkuu! Nataka Sports Car, ila bado cjajua ka bora Subaru au Altezza.
 
bmw 1 series muundo mzuri upate ya diesel manual high way unagonga 19+km /l
 
Symmetrical All Wheel drive (AWD) za Subbie Fozzy ni sayari nyingine aiseee, weka mbali na watoto mi mtu kukaa mbele yangu km hatembei naonaga kichefuchefu sasa Subbie ndo utazipenda, Subaru Forester ni gari za rough road haswaaa kuliko BMW zinapenda lami sana
 
Back
Top Bottom