Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2. 1GD-FTV automatic 2755 CC
ni ipi bora kwa maana ya
1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa kifupi barabara mbovu zenye matope tena za vijijini.
2. Rahisi kupata spare kwa nje ya Dar es Salaam
3. Rahisi kutengenezwa na mafundi hasa mafundi wa nje ya Dar es Salaam.
4. Ingine ipi kati ya hizo inavumilia shida.
5. Ni engine ipi kati ya hizo zimezoeleka na madereva wa nje ya Dar es Salaam
6. Ni engine ipi kati ya hizo hata dereva akiwa hayupo makini sana na uendeshaji bado angalau itadumu?
Natanguliza shukrani zangu za dhati pia kwa heshima na taadhima wafuatao naombeni ushauri wenu please, na wengine pia msiache kunishauri mwana JF mwenzenu.
cc JituMirabaMinne
cc Extrovert
cc Junnie27
cc Hazchem plate
cc PureView zeiss
cc alphonce.NET
cc Offshore Seamen