Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Za Vijijini ndo poa zaidi waombe nyumba ya kuishi tuu na posho kidogo lazima wakuajiri siku zijazo sema usiweke hela na nyege mbele utaishia pabayaASANTE..apo nidiili na ROMAN CATHOLIC NA KKKT ILA ISLAM SINA UENYEJI ZAIDI MAANA ATA DINI YANGU NI RC.
Kama upo nyamagana nenda pale RAINBOW IPO MAENEO YA SINAI/KOKOTO AU NENDA DIAMONDO(ZAMAN UHURU MAENEO YA KONA YA ISENI) huwa wanachukua sana watu kama ajira fulan hv(unaweza pata kipato na experience)Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.
Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika pande zifuatazo ambazo zitanipa opportunities za kujifunza na kujikimu kwa kiasi kidogo.
1. Mjini au kijijini?
2.Zahanati au kituo cha afya ( health center)?
3. Na pia katika jambo zina la populations (clients)?
MAWAZO YENU NI MCHANGO MKUBWA KWANGU.
ASANTENI KWA ATTENTION YENU. NASUBILI MREJESHO.
WhatsApp no 0692193840
Naishi Nyamagana Mwanza
Pambana kitaa huku unasikilizia hizo ajira unazotaka me nimepiga medical lab nimefanya dispensary nying sana kaz ila sa hv nimeachana nazo nipo tu kitaa napiga mambo mengnim
Chief huna hela nyege zinatoka wap,🤣 au ni mimi 2 ndo nipo ivoZa Vijijini ndo poa zaidi waombe nyumba ya kuishi tuu na posho kidogo lazima wakuajiri siku zijazo sema usiweke hela na nyege mbele utaishia pabaya
Ndagha..
Pia nilipata watu baadhi wakanimbia mjini unaweza part time katika dispensary private na kuuziwa shift za night ingawa sina uhakika katika hili..VP MKUU UNALIONGELEAJE HILI,🤔Mm
Chief huna hela nyege zinatoka wap,🤣 au ni mimi 2 ndo nipo ivo
ASANTE SANA ..MCHANGO WENU UNANIPA MWANGA MKUBWA SANA. MUNGU ATIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU NA ZANGU PIAKama upo nyamagana nenda pale RAINBOW IPO MAENEO YA SINAI/KOKOTO AU NENDA DIAMONDO(ZAMAN UHURU MAENEO YA KONA YA ISENI) huwa wanachukua sana watu kama ajira fulan hv(unaweza pata kipato na experience)
NAHISI APA NDO PALE PANAITWA UHURU HOSPITAL JIRANI ASLAY MIHOGOASANTE SANA ..MCHANGO WENU UNANIPA MWANGA MKUBWA SANA. MUNGU ATIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU NA ZANGU PIA
Hapo hapo...nenda hapo au kule rainbowNAHISI APA NDO PALE PANAITWA UHURU HOSPITAL JIRANI ASLAY MIHOGO
ASANTEE MKUBWA..