Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.

Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika pande zifuatazo ambazo zitanipa opportunities za kujifunza na kujikimu kwa kiasi kidogo.

1. Mjini au kijijini?
2.Zahanati au kituo cha afya ( health center)?
3. Na pia katika jambo zina la populations (clients)?

MAWAZO YENU NI MCHANGO MKUBWA KWANGU.
ASANTENI KWA ATTENTION YENU. NASUBILI MREJESHO.
WhatsApp no 0692193840

Naishi Nyamagana Mwanza
Kama upo nyamagana nenda pale RAINBOW IPO MAENEO YA SINAI/KOKOTO AU NENDA DIAMONDO(ZAMAN UHURU MAENEO YA KONA YA ISENI) huwa wanachukua sana watu kama ajira fulan hv(unaweza pata kipato na experience)
 
Mm
Pambana kitaa huku unasikilizia hizo ajira unazotaka me nimepiga medical lab nimefanya dispensary nying sana kaz ila sa hv nimeachana nazo nipo tu kitaa napiga mambo mengnim

Za Vijijini ndo poa zaidi waombe nyumba ya kuishi tuu na posho kidogo lazima wakuajiri siku zijazo sema usiweke hela na nyege mbele utaishia pabaya

Ndagha..
Chief huna hela nyege zinatoka wap,🤣 au ni mimi 2 ndo nipo ivo
 
Kama upo nyamagana nenda pale RAINBOW IPO MAENEO YA SINAI/KOKOTO AU NENDA DIAMONDO(ZAMAN UHURU MAENEO YA KONA YA ISENI) huwa wanachukua sana watu kama ajira fulan hv(unaweza pata kipato na experience)
ASANTE SANA ..MCHANGO WENU UNANIPA MWANGA MKUBWA SANA. MUNGU ATIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU NA ZANGU PIA
 
Back
Top Bottom