Ushauri: Kiapo cha ndoa katika uhamisho wa mtumishi

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Habar wanajamvi!
Nataka kumhamisha wife kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hatujafunga ndoa kanisani wala bomani, je tunaweza kutumia kiapo cha ndoa ambacho kinaonyesha kama ndoa ya kimila kuambatanisha kwenye maombi ya uhamisho? Asanteni, naamin ntapata majibu sahih hapa!
 
Kwa uelewa wangu mdogo,ndoa zinazotambulika ni za kidini,kiserikali na kimila kwa kiasi kama utakua na document ya kunesha hivyo!
 
Mkuu DR. MWAKABANJE,hakuna nyaraka yoyote iitwayo kiapo cha ndoa. Kwenye ndoa kuna cheti cha ndoa tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…