MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
OkSawa mkuu! Na mm nimetoa ushaur na sio sheria
Aaaaah. Umeua ndg.Achana na mambo ya kisasa muwekee mtoto kisu na ndimu muda wote kwenye kichwa chake na mpake mafuta ya zaitun
Nipo mkoani, swala la maziwa namshukuru Mungu napata maziwa ya kutosha,Kwanza unaishi wapi..kama ni dar basi huyo mtto hutakiwi kumvisha nguo nyingi usiku kikubwa kinacho mliza mtto itakuwa ni joto unatakiwa kujua unavyo sikia wewe kwenye hali ya hewa na mtto hujisikia hivyo sio wewe unasikia joto lakini mtoto unamgubika nguo nyingi ...kingine je anapata maziwa ya kutosha?
Eeeh amuwekee mtoto kisu kichwani?Achana na mambo ya kisasa muwekee mtoto kisu na ndimu muda wote kwenye kichwa chake na mpake mafuta ya zaitun
Jibu hili nikma ulikuwa unalisubiria au Mkuu we kibokoUnauliza mate mdomoni kuwa yamo au kinyesi chooni?. Ungeuliza una watoto wangapi?.
Nilijua tu watu kama nyie mtachangiaNakushauri yafuatayo.
Angalia mahusiano yako na mzazi au mmeo. Angalia uhalisia wa mtoto huyo baba yake halisi ni yupi. Washirikishe wazazi upande wa huyo mtoto hata kama wako mbali kuna maneno wakisema yaweza kuwa tiba. Si uchawi ni tamaduni tu. Ni ushauri siyo sheria ikufunge.
Duh!Nakushauri yafuatayo.
Angalia mahusiano yako na mzazi au mmeo. Angalia uhalisia wa mtoto huyo baba yake halisi ni yupi. Washirikishe wazazi upande wa huyo mtoto hata kama wako mbali kuna maneno wakisema yaweza kuwa tiba. Si uchawi ni tamaduni tu. Ni ushauri siyo sheria ikufunge.
Jamaa ana dharau sana. Anajiona kama matatizo ya watoto anayajua yote. Kuna matatizo ya watoto ambayo hata dokta bingwa hawezi ila yanaisha kitamaduni tu. Sasa atuachie sisi tuliozaa watoto kwenye mafungu kama Yakobo ndo tunaelewa tiba zake na sababisho.Jibu hili nikma ulikuwa unalisubiria au Mkuu we kiboko
Wee hukujua kama utachangia.Nilijua tu watu kama nyie mtachangia
Kabisa Mkuu na ulichokiuliza ni cha Msingi kabisa Mtoto kulia kuna mengi kabisa.. Mengi ni ya Kitamaduni na ndiyo maana watu wanapaka majivu au mkaa kwenye paji la usoJamaa ana dharau sana. Anajiona kama matatizo ya watoto anayajua yote. Kuna matatizo ya watoto ambayo hata dokta bingwa hawezi ila yanaisha kitamaduni tu. Sasa atuachie sisi tuliozaa watoto kwenye mafungu kama Yakobo ndo tunaelewa tiba zake na sababisho.
Nawekaje kisu na ndimu kichwani kwa mtoto wakati wote mkuu?Achana na mambo ya kisasa muwekee mtoto kisu na ndimu muda wote kwenye kichwa chake na mpake mafuta ya zaitun
Nawekaje kisu na ndimu kichwani kwa mtoto wakati wote mkuu?
Ampeleke hospital..aachane na mambo ya imaniWee hukujua kama utachangia.
Hadi anaingia humu hakujua kama hizo hospital zipo upenuni mwa nyumba yake. Au unadhani sisi hospital huwa hatuendi kutibiwa?. Amekusikia ataenda ila mpaka sasa ukweli kaupata.Ampeleke hospital..aachane na mambo ya imani
Umenena ukweliNakushauri yafuatayo.
Angalia mahusiano yako na mzazi au mmeo. Angalia uhalisia wa mtoto huyo baba yake halisi ni yupi. Washirikishe wazazi upande wa huyo mtoto hata kama wako mbali kuna maneno wakisema yaweza kuwa tiba. Si uchawi ni tamaduni tu. Ni ushauri siyo sheria ikufunge.
Kama wa kiume je!Watoto usku huwa wanaona mengi mkuu , vitu vya kutisha hasa ... wakati wa kulala uwe unampakaa wanja katika nyuso zake " mi wa kwangu pia alikuwa hivo lakini nilvokuwa nampaka wanja hakuwa anasumbua tena ..
Hongera sana baba.Nina binti angu sasa ana umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu kanatembea sasa
Nakumbuka hakuna kipindi nilichoteseka kama baba ndani pindi ana umri wa miezi mitatu,alikuwa analia balaa usiku mamake nilikuwa namwonea huruma maana halali
Ikabidi niende hospitali lakini wakaniambia hapo hana tatizo ni stage tu ya ukuuaji
Ikabidi nibadili ratiba,saa kumi na moja jioni nalala nikitoka job,saa mbili usiku naamka naanza kufanya kazi za kiofisi huku namsubiri aanzishe timbwili nianze kumbembeleza
Tabia hii ipo mpka sasa kwa umri huu wake,lakini si kama kipindi kile