ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Kama upo serious fanyia kazi hili wazo hata kama si ktk mpunga ila biashara ya mazao ni uhakika tofauti na kilimoSikushauri uingie kwenye kilimo , bora usubir kipindi cha mavuno hasa ifakara uchukue mpunga elfu 50 mpka 60 saiz gunia shs 130000,
Hiyo itakulipa kuliko kulima
Hilo Shamba lako lina maji?Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.
Hivi passion inachukua mda gani toka kupanda hadi kuvuna?mkuu kama unataka kufuga inabidi ukae kule. huwezi kukaa mbali na biashara hiyo. maziwa yana soko sana na kule kupata malisho sio shida. na ukiweza kuwazalisha vizuri unapowauza utapata fedha ya kutosha.
kama unapenda matunda usilime tikiti lima passion fruit. kwa sasa ina bei nzuri na bei yake haichezi chezi sana kama tikiti. Matango au bamia au jamii nyingine ya mbogamboga pia nayo ni nzuri kama shamba lina maji ya kutosha.
Njoo rungwe au mtume mwakilishi unaemwamini ununue ndizi na upeleke lilongwe-malawi kwa week utapeleka mzigo mara mbili na mzigo unagombaniwa... Mtaji pamoja na usafirishaji na kodi andaa million nne tuu....gharama za matumizi huku sio za kutisha kama dar es laam mara nyingi faida hucheza kwenye 600k-700k kwa trip moja..nipigie nkuelekeze vizuri 0765891704Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.
Unaweza tushirikisha ikawa faida kwa woteMimi nalima tena niko mbali sana na mashamba yalipo lakini si haba, tija naiona baada ya kupata mtu makini anayesimamia. Kilimo cha Tamzania kinahitaji mambo matano muhimu.
1. Usimamiaji
2. Usimamiaji
3. Usimamiaji
4. Mtaji
5. Soko litakalokufanya uuze mazao yako kwa wakati wowote unapotaka na muda muafaka.
Mtaji wako ungekuwa milioni 80-100; ningekushirikisha kilimo nacholima.
NdioHilo Shamba lako lina maji?
engineer na bodabodaNiazime 2.5m nipige boda boda huku mtaani kwetu.
Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.
Wekeza kulima mazao kama Mboga mboga hayana risk kubwa na pia Demand ni kubwa mno kama una maji lakini ya kumwagilia.Habari wadau,