History-Victory
JF-Expert Member
- Sep 11, 2021
- 326
- 733
Mzee utatupa hela yako..kigamboni hakuna ardhi ya kilimo..kama unataka biashara hiyo heri uwe unanunua na kuuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenda kuzika mil 20 zote bure? Kilimo ni kamali bora ununue mazao na kuuza. Ikishindikana hiyo nunua viwanja sehemu mbali mbali vitafutie hati kaa subiri hela. Narudia tena usizike pesa yako kwenye kilimo.Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.
Tunatafuta mtaji wa kujiajiliengineer na bodaboda
Hili nakuunga mkono,asilime asubuli wakati wa kuvuna anunue mazao ayahifadhiSikushauri uingie kwenye kilimo , bora usubir kipindi cha mavuno hasa ifakara uchukue mpunga elfu 50 mpka 60 saiz gunia shs 130000,
Hiyo itakulipa kuliko kulima
Hilo ni hot cake kabisaNdio
Fuga Nguruweusilime mkuu. fuga ngombe. au mbuzi
Asante.Mzee utatupa hela yako..kigamboni hakuna ardhi ya kilimo..kama unataka biashara hiyo heri uwe unanunua na kuuza.
Ahah hapo wazee wa forex wanakutamanHabari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.
Kondoo wanasoko kweli rafiki..?Mkuu nenda mikoan kanunue kondoo na mbuzi wazuri najua ushaelewa
Kilimo Cha matunda mbalimbali Kama vile ndizi, papai, passion, dragon, strawberries,matango,etc Hiki ni kilimo chenye tija kubwa ukipata shamba lenye maji ya kutosha au wekeza katika hilo. Kilimo Cha maharage pia.
Mifugo Kama mbuzi, ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa kunenepesha wa nyama, kondoo, Bata mzinga kina tija pia ukikisimamia vizuri.
Kiufupi ni hivyo ukitaka details na michanganuo wa kila kimoja tutawasiliana.
Au subiri wakati wa mavuno ya nafaka ununue usubiri kuuza kipindi Cha low season.
Points nzurKilimo Cha matunda mbalimbali Kama vile ndizi, papai, passion, dragon, strawberries,matango,etc Hiki ni kilimo chenye tija kubwa ukipata shamba lenye maji ya kutosha au wekeza katika hilo. Kilimo Cha maharage pia.
Mifugo Kama mbuzi, ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa kunenepesha wa nyama, kondoo, Bata mzinga kina tija pia ukikisimamia vizuri.
Kiufupi ni hivyo ukitaka details na michanganuo wa kila kimoja tutawasiliana.
Au subiri wakati wa mavuno ya nafaka ununue usubiri kuuza kipindi Cha low season.
Du kilimo sio kaamari mzee, mimi nalima na maisha yanabadilika sana ,Unaenda kuzika mil 20 zote bure? Kilimo ni kamali bora ununue mazao na kuuza. Ikishindikana hiyo nunua viwanja sehemu mbali mbali vitafutie hati kaa subiri hela. Narudia tena usizike pesa yako kwenye kilimo.
Unalima wapi na mazao gani bwana NyalukeDu kilimo sio kaamari mzee, mimi nalima na maisha yanabadilika sana ,
Mkuu unafanya biashara ya kuuza mazao?Kama upo serious fanyia kazi hili wazo hata kama si ktk mpunga ila biashara ya mazao ni uhakika tofauti na kilimo