Ushauri: Kilimo gani nifanye kwa mtaji wa Shilingi milioni 20?

10M kwa mwaka?nipatie mimi hiyo 20M nikurudishie 30M ndani ya miezi minne tu
 
Sikushauri uingie kwenye kilimo , bora usubir kipindi cha mavuno hasa ifakara uchukue mpunga elfu 50 mpka 60 saiz gunia shs 130000,
Hiyo itakulipa kuliko kulima
Unapenda kula lakini hutaki watu walime?! Ajabu hii
 
Usiumize kichwa mkuu, kama shamba ni lako sikia nachokueleza: tenga ekari mbili (just 2acres) funga drip system (haizidi 10 M au hata chini) then Lima kitunguu.

Pesa nyingine Acha ilinde accounts zako. Utakuja kushukuru. Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…