blastoLite
Member
- Oct 20, 2016
- 13
- 7
Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na kilichoshtua wengi ni pale ambapo hakuna hata msanii mmoja kutoka Tanzania akiyenyakua tuzo hizo. Nchi kana Nigeria na Afrika kusini wameonekana kung'aa katika tuzo hizo na wenzetu Kenya wakaambulia kidogo kama tulivyoona.
Swali langu ni kwamba, tofauti na mwaka Jana ambapo Wasanii walikuwa wachache na tukabahatika kubeba tuzo,
Je mwaka huu kipi tumekosea? Kipi tufanye kama wadau wa muziki wa Tanzania? Ushauri kwako Kwa wasanii ni UPI?
Je hizi team zisizokuwa na viwanja zivunjwe ama ziendelezwe?
Karibuni wadau.