Ushauri: Kipi kifanyike kwa wasanii wa Tanzania washinde tuzo za MTV?

blastoLite

Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
13
Reaction score
7
Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na kilichoshtua wengi ni pale ambapo hakuna hata msanii mmoja kutoka Tanzania akiyenyakua tuzo hizo. Nchi kana Nigeria na Afrika kusini wameonekana kung'aa katika tuzo hizo na wenzetu Kenya wakaambulia kidogo kama tulivyoona.

Swali langu ni kwamba, tofauti na mwaka Jana ambapo Wasanii walikuwa wachache na tukabahatika kubeba tuzo,

Je mwaka huu kipi tumekosea? Kipi tufanye kama wadau wa muziki wa Tanzania? Ushauri kwako Kwa wasanii ni UPI?

Je hizi team zisizokuwa na viwanja zivunjwe ama ziendelezwe?

Karibuni wadau.
 
Mtahangaika sana kutafuta sababu....Hivi kweli na akili zenu mnadhani Diamond ni bora kuliko Wizkid? Kwa mwaka huu? Kweli jamani?

Kweli kuna mtu anaweza kudhani Vanessa ni bora kuliko Yemi alade? Ni ujuha

Kuna mtu anadhani Raymond anaweza kumzidi Tecno? Kwa mwaka huu? Ni uchizi

Kabisa wimbo wa sauti sol uwe bora wa mwaka, bora kuliko My Woman ya Patorankin? Kweli?

Tuache kutafuta sababu kama vile hao jamaa walikuwa na nafasi ya kushinda.....

Na ukweli ni kuwa HATA KAMA AFRIKA MASHARIKI WATU WOTE WAKAMPIGIA KURA ALI KIBA, HADI VITOTO VICHANGA VIKAPIGA KURA, ALI KIBA KUMSHINDA WIZKID NI NDOTO? Not this year, na akishinda hizo tuzo zitakosa credibility....

Vijana wakaze buti tu, may be next year.....
 
juhudi na kazi
mapenzi weka pembeni
fanya kazi hasa..
management nzuri, focus
toa mziki u peleke mbele sio unauacha.
 
Mtahangaika sana kutafuta sababu....Hivi kweli na akili zenu mnadhani Diamond ni bora kuliko Wizkid? Kwa mwaka huu? Kweli jamani?

Kweli kuna mtu anaweza kudhani Vanessa ni bora kuliko Yemi alade? Ni ujuha

Kuna mtu anadhani Raymond anaweza kumzidi Tecno? Kwa mwaka huu? Ni uchizi

Kabisa wimbo wa sauti sol uwe bora wa mwaka, bora kuliko My Woman ya Patorankin? Kweli?

Tuache kutafuta sababu kama vile hao jamaa walikuwa na nafasi ya kushinda.....

Na ukweli ni kuwa HATA KAMA AFRIKA MASHARIKI WATU WOTE WAKAMPIGIA KURA ALI KIBA, HADI VITOTO VICHANGA VIKAPIGA KURA, ALI KIBA KUMSHINDA WIZKID NI NDOTO? Not this year, na akishinda hizo tuzo zitakosa credibility....

Vijana wakaze buti tu, may be next year.....
Kuna watu wachache sana wenye akili. Hongera.
 
Back
Top Bottom