ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama una contact za hicho chuo tafadhali share nasiHeavy duty equipment... Chuo kipo Shinyanga...
Hutojutia mm nilipata Hy nafasi Ila Kwa bahati mbaya nikapata ajira so sikuenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Heavy duty equipment... Chuo kipo Shinyanga...
Hutojutia mm nilipata Hy nafasi Ila Kwa bahati mbaya nikapata ajira so sikuenda
Sent using Jamii Forums mobile app
mtoa mada uzingatie sana huu ushauri.Babu think twice,,,
Watu mamia wamesomea hiyo course na wanajutia hakuna ajira, wengine wameamua kuwa bodaboda wanajuta hiyo milioni na upuuzi walioitoa si bora hata wangenunua bodaboda yao wafanye biashara!
Wengine wameamua kuwa welders, wengine wameajiriwa na kampuni za ulinzi, na wengine wameamua kutafuta Kazi za udereva! Achana na walioamua kufanya biashara binafsi kama mitumba nk
Any way, nisikuvunje moyo wala kukukatisha tamaa, Chuo kipo pale shinyanga Mjini, mtaa wa kizumbi, nyuma kidogo ya stand ya ibinzamata, kama unatokea Dar,
Mitambo ipo ya Motor grader 140H, Hydraulic Excavator 320D na Loader front End, zote ni brand ya Caterpillar. Muda miezi miwili,
Chuo kingine kipo hapo Kijitonyama, kwenye Kanisa la KKKT, kinaitwa IHET, ghorofa ya 8, kinatoa courses za forklift, motorgrader, hydraulic exvator, front end loader, and driving,
Kila lakheri mkuu,,,
Kweli mkuu,,,mtoa mada uzingatie sana huu ushauri.
Hiyo fani ya heavy duty mechanics ajira zake zipo sana sana migodini tu ukikosa hapo basi imekula kwako.
Hapo fani za maana ambazo una uwezo wa kujiajiri ni mojawapo kati ya hizi 3 tu.
1.Motor vehicle nechanics
2.Auto electrics
3.Electrical installation
Mkuu Mimi nataka kwenda kusoma minetechnology veta shinyanga vipi uko vizuri mkuu wangu au Hapana naombeni ushauriBabu think twice,,,
Watu mamia wamesomea hiyo course na wanajutia hakuna ajira, wengine wameamua kuwa bodaboda wanajuta hiyo milioni na upuuzi walioitoa si bora hata wangenunua bodaboda yao wafanye biashara!
Wengine wameamua kuwa welders, wengine wameajiriwa na kampuni za ulinzi, na wengine wameamua kutafuta Kazi za udereva! Achana na walioamua kufanya biashara binafsi kama mitumba nk
Any way, nisikuvunje moyo wala kukukatisha tamaa, Chuo kipo pale shinyanga Mjini, mtaa wa kizumbi, nyuma kidogo ya stand ya ibinzamata, kama unatokea Dar,
Mitambo ipo ya Motor grader 140H, Hydraulic Excavator 320D na Loader front End, zote ni brand ya Caterpillar. Muda miezi miwili,
Chuo kingine kipo hapo Kijitonyama, kwenye Kanisa la KKKT, kinaitwa IHET, ghorofa ya 8, kinatoa courses za forklift, motorgrader, hydraulic exvator, front end loader, and driving,
Kila lakheri mkuu,,,
Kweli mkuu,,,
Labda kama ana connection kwingineko,
heavy duty machines zinatumika pia barabarani lakini miradi mingi ni connection na plant operators kwasasa wamejaa mitaani hadi kero!
Naandika haya nikiwa kama plant operator niliyesomea hayo mambo, shinyanga, na ihet pia, Nina experience na fani hii,, lakin kama anaipenda ruksa kujaribu!
Mkuu inamanisha hii kozi ya minetechnology kwasasa Haina soko mkuu??Ni kweli mkuu kuna makaka zangu fulani hivi hizo ndio kazi zao kwa miaka mingi sana na walitamba sana miaka hiyo miradi inashikiliwa na wazungu.
Sasa hivi walivyoanza kuingia wachina jamaa wana maisha magumu hatari maana soko limevurugwa wako benchi tu.
Maana wachina staili yao hawaangalii mavyeti anazoa vijana anawafundisha hapo hapo saiti kwa wiki mbili tayar anawapa kazi mshahara laki 3 kwisha kazi.
Wewe ambaye ni mkongwe au una mavyeti unataka mshahara mkubwa ana muda na wewe.
Bora fundi makenika anaweza kuanzisha gereji bubu hata chini ya mti akapata senti za kula
Mining ndio kozi ngumu sana kupata ajira tangu miaka ya zamani labda uwe na mjomba wako ana kitengo cha kukupa mahali.Mkuu Mimi nataka kwenda kusoma minetechnology veta shinyanga vipi uko vizuri mkuu wangu au Hapana naombeni ushauri
Kwa mfano ni kozi ipi ambayo IPO good mkuu wangu maana Mimi Nina degree ya Enviromental science and management Ila nilitaka kusoma kozi ya minetechnology ili niitumie Kama kigezo Cha kuingilia mgodini mkuuMining ndio kozi ngumu sana kupata ajira tangu miaka ya zamani labda uwe na mjomba wako ana kitengo cha kukupa mahali.
Kuna watu wengi wana degree za mining hawana kazi.
Kwa wakati wa sasa somea kozi ambayo hata usipoajiriwa unaweza kujiajiri mwenyewe kiurahisi kwa kutumia hyo fani.
kila kozi ni nzuri kutokana kila kozi inalenga kumwezesha mwanafunzi kukabiliana na maisha ya sasa.Habari wakuu,nishaurini kozi nzuri ya kusomea VETA kati ya zifuatazo au kama kuna nyingine nzuri zaidi mniambie kuna ndugu kaomba nimshauri
- Electronics
- Leather goods and shoe making
- Auto body repair
- pre-press and digital making
- Heavy duty mechanics
- Motor vehicle mechanics
- Printing/off set machine printing
- Industrial electronics
- Electric installation
- Auto electric
Thanks in advance
Mkuu Mimi nataka kwenda kusoma minetechnology veta shinyanga vipi uko vizuri mkuu wangu au Hapana naombeni ushauri
Ok mkuu nipe namba zako nikupigie mkuu tuchonge namba zangu Ni 0673596817 maana nataka nikuulize kitu....Minetechnology pia hiyo course inafundishwa pale shinyanga, si kuhusu madini?! Kuyachonga Na kulipua kwenye machimbo?!
Inafundishwa pale Veta shinyanga, Na nadhani barua ya field wanapewa kabisa, ila field unajitafutia mwenyewe,,, kuhusu ajira zake sijajua zikoje maana sijasomea hiyo course mkuu,,
Kwa mfano ni kozi ipi ambayo IPO good mkuu wangu maana Mimi Nina degree ya Enviromental science and management Ila nilitaka kusoma kozi ya minetechnology ili niitumie Kama kigezo Cha kuingilia mgodini mkuu
Dah!! πππππ Kwa kwerii maisha sio poa asee maana Mambo Ni magumu aseee mkuu wangu sanaaa huku kitaa mkuu walioko chuo wanatakiwa kulijua hiliKweli hii degree ya environmental science and management inatesa wengi, kuna ndugu yangu kasomea hiyo degree university of Dodoma, lakini kwasasa anasaidiana Na mafundi kama kibarua kwenye ujenzi wa nyumbani, yaani maisha Haya, nadhani ni vyema sana ukatafuta courses za domestic electrical or industrial electrical, au electronics devices, zinalipa zaidi kwasasa kwa kujiajiri binafsi,,,
Mimi nimesomea plant operator kwenye heavy duties machines,,, lakini kutokana Na competition kubwa ya ajira Na kukosa connection Mara kwa Mara,,, niliamua kujikita kusomea electrical Na electronic devices,
Silali njaa, najifunza pia Masonic and paintings, hukosi milioni kwa mwezi,