Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

Dah!! ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ Kwa kwerii maisha sio poa asee maana Mambo Ni magumu aseee mkuu wangu sanaaa huku kitaa mkuu walioko chuo wanatakiwa kulijua hili

Nikweli mkuu,, siku hizi ujanja ni kuwa Na ka-course kako Fulani ambako kanaweza kukufanya ujiajiri au ujipatie chochote pindi pale unapokosa ajira rasmini,

Nimeku pm mkuu,,
 
Kwerii aseee kwahiyo vipi nikisoma kozi ya motor vehicle mechanics na automobile mechanics pale veta shinyanga mkuu si inawezekana mkuu wangu?? Afu si inaruhusiwa kusoma kozi zote mbili kwa wakati mmoja auto na motor vehicle mechanics??
 
Nadhani inawezekana, inategemea na masharti yao na vigezo, pia na muda wa madarasa usiingiliane,
 
Back
Top Bottom