Dah!! πππππ Kwa kwerii maisha sio poa asee maana Mambo Ni magumu aseee mkuu wangu sanaaa huku kitaa mkuu walioko chuo wanatakiwa kulijua hili
Nikweli mkuu,, siku hizi ujanja ni kuwa Na ka-course kako Fulani ambako kanaweza kukufanya ujiajiri au ujipatie chochote pindi pale unapokosa ajira rasmini,

Kwerii aseee kwahiyo vipi nikisoma kozi ya motor vehicle mechanics na automobile mechanics pale veta shinyanga mkuu si inawezekana mkuu wangu?? Afu si inaruhusiwa kusoma kozi zote mbili kwa wakati mmoja auto na motor vehicle mechanics??