josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Hivi karibuni Ndg. Ludovick Utoh, Mkaguzi naMdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),alisema kuwa hali ya nchiya Tanzania kiuchumi kwa maana ya mapato na matumizi si nzuri na kwamba deni laTaifa limefikia tillioni 25 (billioni elfu 25).Aliyasema hayo akiwa Dodoma kwenye mkutano wa pili wabaraza la wafanyakazi wa ukaguzi nchini.
Ushauri aliotoa: Serikali na Bunge wajitathimini,Serikali isimamie vizuri vyanzo vyake vya mapato na matumizi.
Lengo langu hapa si kujadili
Watanzania wenzangu,
Unajua watu wa hali ya kawaida kama sisi hatuna mahalipa kusemea, kutolea dukuduku letu au hata kuuliza maswali. Wawakilishi wetu naowako bize. Ukipata jukwaa kama hili unashukuru mungu, sasa basi
Kwa vile JF ni chombo muhimu na mtandao mkubwa wakupashana habari za kijamii hapa Tanzania,
Na kwa kuwa Ofisi ya Takwimu ya Taifa jhaijatoataarifa ya matokeo kamili ya sensa ya watu na makazi kwa Umma (nasema hivyo kwasababu sijaona repoti yake kamili ukiachilia mbali baadhi ya taarifa – summary),
Naomba kwa hekima na taadhima kubwa, wachumi wetu,taasisi za kiraia, ofisi ya takwimu ya Taifa, TRA, wizara ya Fedha na wadau wengine, kwa kutumia sensa ya watuna makazi ya mwaka 2012,
3. Ni kiasi gani cha fedha kutoka mapato yatokano ya tozo mbalimbali za huduma zitolewazo na taasisi za Umma? Mfano, Vyuo, Idara za serikali (vibali, service charge, kodi, maliasili, nk). Je fedha yote inayokusanywa ni asilimia ngapi kulinganisha na mapato yanayopatikana kutoka swali namba 2?
4. Kwa vile makato ya kodi ya serikali kutoka kwa mishahara ya watumishi sekta binafsi na watumishi wa Umma inakatwa kwa kila anachopata mfanyakazi, Je mapato ya Mbunge (mshahara na marupurupu mengine yote) ni kiasi gani ? Na je, kwa mwaka, Serikali ya Tanzania inatumia fedha kiasi gani katika kuwalipa (mishahara na malipo mengine) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ? Na je, ni kodi kiasi gani hukusanywa kutoka katika malipo hayo ? na Je ni asilimia ngapi?
5. Je mapato halisi ya kila mtanzania kutoka kila kundi hapo juu b) hadi d) yanafahamika? Nini mlinganyo wa kiasilimia kimapato kwa kila kundi ukijumlisha na mbunge ? na je, Mlinganyo wao ukoje katika kulipa kodi ?
Kama sikueleweka vizuri na unahitaji ufafanuzi zaidinaweza kufanya hivyo.
Asante sana,
Naomba kuwakilisha kwa ajili ya majibu kutoka kwa wadauhusika.
Josam

- Hali iliyopelekea hatua hii tuliyonayo (deni kufikia Tilllioni 25)
- Matumizi yanayo aksi deni hilo kwa maana ya tija au matokeo yanayoonekana au kupimika kulingana na deni hilo
Watanzania wenzangu,
Unajua watu wa hali ya kawaida kama sisi hatuna mahalipa kusemea, kutolea dukuduku letu au hata kuuliza maswali. Wawakilishi wetu naowako bize. Ukipata jukwaa kama hili unashukuru mungu, sasa basi
Kwa vile JF ni chombo muhimu na mtandao mkubwa wakupashana habari za kijamii hapa Tanzania,
Na kwa kuwa Ofisi ya Takwimu ya Taifa jhaijatoataarifa ya matokeo kamili ya sensa ya watu na makazi kwa Umma (nasema hivyo kwasababu sijaona repoti yake kamili ukiachilia mbali baadhi ya taarifa – summary),
Naomba kwa hekima na taadhima kubwa, wachumi wetu,taasisi za kiraia, ofisi ya takwimu ya Taifa, TRA, wizara ya Fedha na wadau wengine, kwa kutumia sensa ya watuna makazi ya mwaka 2012,
- Idadi
- a)Tanzania ina idadi kiasigani cha watu wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 80 kwa mujibu wa sensa yamwaka 2012?
- b) Ni idadi kiasi gani chawafanyakazi Tanzania (Wazawa na wageni)
- c) Wanayo idadi yawafanyabiashara (mmoja mmoja, makampuni binafsi) achilia mbali usahihi wake? Je, ni kiasi gani?
- d) Wanayo idadi ya wakulimana wafugaji nchi nzima? Je, ni kiasi gani?