Kuna hiyo kitu chief, ngoja wajuzi waje watupe shuleDaah mi najuaga kuosha tu afu nduki,mambo za waxing ngoja waje 'wasafiiiiiiii'.
waxing ni kama mafuta flani tu ambayo unaweza kuwa unapata even 2 weeks ina a month hutumika kuifanya rangi ya gari iwe na mngao kama ule wa mafuta.Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari kuna madhara yeyote kwenye rangi asilia/origical color ya gari husika? hapa naamaanisha huko siku za mbeleni
3. Gharama za waxing kwa gari inaweza kuwa kiasi gani lets say Kluger?
4. Ushauri mwingine wowote unaohusiana na hilo
Sijawahi kufanya hicho kitu sijui ina faida gani kufanya waxingDaah mi najuaga kuosha tu afu nduki,mambo za waxing ngoja waje 'wasafiiiiiiii'.
Naijua vzr,Ila ni vile mi sio mtu wa hizo mambo mkuu.Kuna hiyo kitu chief, ngoja wajuzi waje watupe shule