MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
Utakuwa Una Wapa Tutorials Bure au Watachangia hela kidogo?Habari wakuu. Naomba ushauri nataka nifungue platfom google ambayo itahusika na utoaji wa mafunzo ya mapishi kwa njia ya masafa marefu yaani distance learning na mtu atakua anabook kipindi anapohitaji kama vile zile online teaching zingine zilivo. Anaeweza kunipa muongozo katika hili wazo langu!
Watakua wanachangiaUtakuwa Una Wapa Tutorials Bure au Watachangia hela kidogo?
Nataka mahali ambapo mtu atakua namfundisha live classWazo zuri
Jaribu pia hata whatsapp au telegram ifikie watu wengi
anhaa jaribu hiyo ya google classroomNataka mahali ambapo mtu atakua namfundisha live class