MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
Habari wakuu,
Naomba ushauri,
Nataka nifungue platfom google ambayo itahusika na utoaji wa mafunzo ya mapishi kwa njia ya masafa marefu yaani distance learning na mtu atakua anabook kipindi anapohitaji kama vile zile online teaching zingine zilivyo.
Anaeweza kunipa muongozo katika hili wazo langu!