Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

ilo nahis janga tu mie nilinunua likaw linabonyea nkasahuliw si zur kwa afua jamaa angu akanambia nua jngine upandshie akanielekez tanfom mazur nkanunua nkaweka juu nalo km moez 6 now linabonyea jpo nmepandshia nkawaz nkaona isiwe kesi nkachkua mabox magum gum nikatia katkat yake ukinyanyua godor kidgo afuen japo kwa shid shida ila magodor mazur inch 10 ila shida ake nlikua nalo gum sana nalo linaumiza yn ukilala km uko umilalia mbao nikaliuza by de way bidhaa za afrika ni kamar tu ukipat ipo iv inashida hii ngum kupat standard qualty km vtu vya ulaya
 
Mkuu ilo Godoro lako wamekubambikia ya Manzese ayo fake, gawa tu ilo kanunue kiwandani moja kwa moja tena utapata Original kwa bei nafuu, mm niliensa Comfy kiwandan ,nina mwaka wa 8 hu natumia hakuna kubonyea wala nn.
Nidirect na mimi mkuu nikawandani maana nami muhanga dogoro langu mtumbwi navumilia tu...

Plz text me nikipigie 0625489043
 
Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.

Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.

Ahsante
Kutatua hilo tatizo sijui ila ninachojua ukiendelea kulitumia utaumia mgongo very soon. Utaumwa mgongo usijue sababu kumbe ni hilo godoro.
 
Back
Top Bottom