Gabbar_singh
Senior Member
- Jan 5, 2019
- 146
- 215
Inawezekana ama pia wajanja wamesambaza feki zikawa nyingi mtaani kuliko OGMimi natumia hilo la GSM 10 inch's...Lina lingana na mwanangu wa kwanza Lina miaka 7. Halibonyei kabisa...!
Nadhani nilinunua kipindi hiyo kampuni inaanzishwa
Nidirect na mimi mkuu nikawandani maana nami muhanga dogoro langu mtumbwi navumilia tu...Mkuu ilo Godoro lako wamekubambikia ya Manzese ayo fake, gawa tu ilo kanunue kiwandani moja kwa moja tena utapata Original kwa bei nafuu, mm niliensa Comfy kiwandan ,nina mwaka wa 8 hu natumia hakuna kubonyea wala nn.
Wewe ndo kama mimi tu mzee, now linanipa stress tu nampango wa kulifanya la wageni [emoji23]Aisee na mm hili langu limekaa kama mtumbwi limebonyea katikati[emoji1787][emoji1787]
Nilinunua Tuf foam inch 10
Kutatua hilo tatizo sijui ila ninachojua ukiendelea kulitumia utaumia mgongo very soon. Utaumwa mgongo usijue sababu kumbe ni hilo godoro.Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Ahsante
Achana nalo utaumia mgongo. Nunua kutoka kampuni zilizotajwa hapo juu. Vita,Qfl,Tanfoam.Nidirect na mimi mkuu nikawandani maana nami muhanga dogoro langu mtumbwi navumilia tu...
Plz text me nikipigie 0625489043