Ushauri kuhusu 1999 Toyota hilux surf 3rz powered

Ushauri kuhusu 1999 Toyota hilux surf 3rz powered

themathematicalmodelling

Senior Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
174
Reaction score
327
Dear Wadau,

Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation.

Kwangu reliability and durability kwenye gari are the key inputs ndio maana nimechagua 3RZ over 1KZ that's why naomba ushauri kwa wadau wote ambao ni wataalamu waliobobea kwenye hii gari (1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION) wanipatie ushauri as per reliability, durability and all provided information below.​

PLEASE NAOMBA USHAURI KWENYE STRENGTHS, WEAKNESSES, OPPORTUNITIES, AND THREATS OF THIS VEHICLE (1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION).

Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION

Ref. No.
Mileage
194,903 km​
Chassis No.
RZN185-9028249​
Engine Code
3RZ​
Model Code
GF-RZN185W​
Steering
Right​
Engine Size
2,690cc​
Ext. Color
Black​
Location
KOBE​
Fuel
Petrol​
Version/Class
SSR-X V SELECTION​
Seats
5​
Drive
-​
Doors
5​
Transmission
Automatic​
M3
15.333​
Registration Year/month
1999/7​
Dimension
4.84×1.80×1.76 m​
Manufacture Year/month
1999/6​
Weight
1,760 kg​
Max.Cap
 
Attachments

  • BM852290_12d87c.JPG
    BM852290_12d87c.JPG
    49.9 KB · Views: 54
  • BM852290_b2903e.JPG
    BM852290_b2903e.JPG
    53 KB · Views: 53
  • BM852290_c4e5c4.JPG
    BM852290_c4e5c4.JPG
    36.6 KB · Views: 55
Ngoma ngumu hiyo ni gari inayoaminika kama utaitunza vizuri.
Hii gari itapata credits nyingi sana kutoka kwa wachangiaji
 
Strengths - 2.7 engine ngumu.. Gari kubwa.. Uwezo wa 4x4..haichagui barabara..unapata same chassis kama Prado 90 kwa bei ndogo..!​

WEAKNESSES - 2.7 ndio engine kubwa kuliko zote za 4 cylinders.. Inabugia mafuta.. Haina nguvu.. Body hasa roof inatendency ya kuvuja..!

Opportunities - ukiwa barabarani gari ndogo zinaogopa kukuchomekea..

Threats - ukiendesha gari kubwa peke yako inaonekana mtu mchoyo..!

Gari nzuri ila resale yake ni mtihani sana. Nilikuwa na Toyota Regius yenye 3RZ engine. Niliipenda sana ila nilivyotaka kuiuza ikawa changamoto. Mtu akichungulia ndani ya bonnet na kuona jiko la 3RZ biashara inaishia hapo hapo.
 
Ni gari zuri na engine yake ni ngumu na imara sana. Drawbacks haina mbio sababu ni gear 4 tu na uzito wa gari ni mkubwa.

Bad fuel economy sababu ni engine ya kitambo kidogo.
 
Strengths - 2.7 engine ngumu.. Gari kubwa.. Uwezo wa 4x4..haichagui barabara..unapata same chassis kama Prado 90 kwa bei ndogo..!​

WEAKNESSES - 2.7 ndio engine kubwa kuliko zote za 4 cylinders.. Inabugia mafuta.. Haina nguvu.. Body hasa roof inatendency ya kuvuja..!

Opportunities - ukiwa barabarani gari ndogo zinaogopa kukuchomekea..

Threats - ukiendesha gari kubwa peke yako inaonekana mtu mchoyo..!

Ukweli mtupu ila umesahau kumwambia huwa zinachomoka tairi za mbele kama mwenzake Prado 90
 
Back
Top Bottom