Ushauri kuhusu ajali na malipo ya bima

Ushauri kuhusu ajali na malipo ya bima

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wadau wa sheria naombeni ushauri wenu
kuna mjomba wangu mwaka jana mwishoni aligongwa na basi la kampuni fulani akafariki papo hapo

dereva akapandishwa kizimbani na kupigwa faini ya sh 50.000

swali langu je huyu marehemu aliyegongwa hana stahiki yeyote inayotakiwa kulipwa na bima kwa wategemezi wa marehemu?
 
HAUJAFUATILIA BUT ALWAYS BIMA IPO NA MARA ZOTE KWA SHERIA YA BONGO BIMA ZIMEKUWA ZA ULAZIMA KWA AJILI YA THIRD PARTY, KAMA MNGELIFUATILIA WATEGEMEZI WAKE WANGELIPWA NA BIMA
 
HAUJAFUATILIA BUT ALWAYS BIMA IPO NA MARA ZOTE KWA SHERIA YA BONGO BIMA ZIMEKUWA ZA ULAZIMA KWA AJILI YA THIRD PARTY, KAMA MNGELIFUATILIA WATEGEMEZI WAKE WANGELIPWA NA BIMA
nashukuru kwa majibu mkuu
mwezi ujao naendalikizo nitafatialia
i hope hakuna deadline ya kufuatilia malipo
 
Back
Top Bottom