Ushauri kuhusu biashara ya bodaboda ‘za mkataba’

Tupe maujanja mzeya
 
Mambo ni mengi ila ni yapi, mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda kama zipo hizo biashara ziweke hapa alafu nazo tuzipime kwenye mizani sawa na biashara husika
 
Mambo ni mengi ila ni yapi, mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda kama zipo hizo biashara ziweke hapa alafu nazo tuzipime kwenye mizani sawa na biashara husika
Well said..wabongo kuongea rahisi sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nadhani ni vizuri kutoa mkataba kwa ajili ya usalama.au wewe waonaje?
Hesabu iliyopigwa hapo juu yuko sawa japo sio sahihi.
Huna uwezo wa kutunza shs 10,000 kila siku ndani ya mwaka. Huna uwezo.
Mwaka ukiisha huna pikipiki.
Mpe akupe tsh 7000/8000.
Kila siku.
 
Ukitoa mkataba akupe fedha zote, umgawie hela ya kula ( hatokubali)
 
Toa hicho kipato kingine. Kila biashara ijisimamie. Unapata mshahara halafu unajidai Biashara inakupa faida.!!!
 
Toa hicho kipato kingine. Kila biashara ijisimamie. Unapata mshahara halafu unajidai Biashara inakupa faida.!!!
Ndio maana nikaweka wazi kila kitu ili kusuka au kunyoa kiwe kwa anaetaka etc.....ila pikipiki used ni bora kuliko mpya kwenye return rate yake....

Pia hata ningekuwa natumia hiyo 10 kila siku itabaki 300k maana zipo 2 kitu ambacho hata ambae hana kazi anaweza fanya na hiyo 300 ikamsogeza au hata akiwa na 300 ajakata 5k kwasiku atakuwa na 150 kwa mwezi
 

Mdau uko sahihi sana. Changamoto ya JF ya sisi ni watu kupinga mawazo y wengine ambayo wanapatia mkate wao wa kila siku bila kutoa mawazo yao kama mbadala.
Kuna jambo mtu anaogopa kushea hapa kisa watu wachache kupinga bila hoja ya kwao.
Kwa njia nyingine jipigie PESA kimya kimya tu!!
Kisha fanya maisha yako tu.
Kuna siku nilichangia mada moja jinsi watu tunavyo jipatia mkate wetu uwezi kuamini nilishukiwa kama MWEWE kwa kifaranga. Kutoka siku hiyo nikajifunza kutoongea wakati wa kula.
 
Tupe pia harasa au changamoto ulizowahi kumbana nazo katika hii biashara.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tupe pia harasa au changamoto ulizowahi kumbana nazo katika hii biashara.

#MaendeleoHayanaChama
Niseme kwanza Changamoto

Changamoto kubwa ni bodaboda kutojali usalama wa chombo, kusahau kufanya service za kila Jumapili etc kwahiyo Jumapili huwa napeleka chombo kwa fundi ninaemuamini tukiwa na boda....

Pia changamoto ambazo sijakutana nazo ila nazijua ni pikipiki kuibiwa, kununua boda used ya wizi, boda kupata ajali (hapo itabidi nimhudumie, maana nawachukulia kama ndugu zangu), pia ukiwa poa sana boda anaweza asiwe analeta hesabu kila week kwahiyo ukali unasaidia kwenye hili kama anashindwa unamny'ang'anya chombo

Hasara:
Sijapata hasara maana ninanunua used kutoka kwa dealer anaetambulika, ila hasara ambayo huwa haikwepeki ni kuipiga service pikipiki pindi ninapoinunua tu na kumpa fundi kazi ya kuiassess pikipiki etc hapa inaweza fika laki kabisa ila ni sawa.

Ila ni biashara ya kuwa makini, unahakikisha vibali unavyo, mikataba ya mauziano unayo na usinunue tu kwa mtu ambae hutaweza mpata pindi ikitokea shida....


Pia changamoto ya
 
Ni kweli mkuu hizi biashara mtu atataka useme unaingia mil wakati sio kweli....

Mfano mtu anaona hiyo laki 6 kwa mwezi sio pesa, ila anataka ajenge nyumba ya chumba cha kukaa apangishe 40 kwa mwezi....

Kuna watu wanafanya vitu vya kawaida sana, ila wanaingiza sana pesa
 
samahani kiobgozi nwweza pata huo mkataba nniuone
 
Sorry chief waweza nisaidia connection ya wauzaji wa hizi boda used zenye Quality na zisizo na longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…