Kuna njia naitumia na inanilipa vizuri sana....ngoja niweke hapa....
Mimi huu ni mwaka wa 2 huwa nanunua pikipiki used kwa mil 1.5 hadi 1.7 hivi..... nimepitia bodaboda 4 hadi sasa
Hizi pikipiki natoa kwa mkataba wa miezi 9 tu baada ya hapo inakuwa ya kwake.....
Hesabu 10 × miezi 9 (270) hesabu ya kichwani ilikuwa inakuja 2,700,000 laki 3 toa changamoto nyingine za service ndogondogo na hapo service nyingi huwa anapiga mwenyewe sababu pikipiki ni ya kwake.....ila mimi nimewatengea laki 3 ya service au janga lolote lile kuwasupport...
Hapo huwa inabakia kama laki 9 (900000) na nina bodaboda 2 .pia nina kipato kingine hivyo bodaboda huwa inanipa hrla ya akiba tu....
so mara ya kwanza faida ilikuwa mil 1.9 ndani ya hiyo miezi 9 kwa mtaji wa mil 3... mara ya pili bado mkataba unatembea
Biashara zote ngumu, sio mbaya kufanya na sio kujaribu. Hapo ukipoint boda za mil 1 kwenda mil 1.3 faida inakuwa kubwa etc...
Angalizo bodaboda used nyingine za wizi, ununue upewe document au ununue kwa madalali official kidogo afadhali