Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

Niliuliza watu wawili watatu wanasema pc ni za ku order nakusubiri mzigo ukifika ndio ukachague..
Mzigo ukichukuliwa na kuwekwa dukani price yake inakuwa kubwa kusafirisha huku Dar kodi kubwa unaweza kupata faida
Kwa Zanziber sio! Kule kuna vitu vya bei rahisi sema tu mambo ya ushuru ndiyo yanabana sana kama vile sio nchi ya muungano bana.
 
Kwa Zanziber sio! Kule kuna vitu vya bei rahisi sema tu mambo ya ushuru ndiyo yanabana sana kama vile sio nchi ya muungano bana
Mkuu unashauri tukafanye survey tu zanzibar? Na kuchukua mzigo huko.

Mfano Laptop 1 ushuru wake unaweza kuwa kiasi gani?
 
Mkuu unashauri tukafanye survey tu zanzibar? Na kuchukua mzigo huko.

Mfano Laptop 1 ushuru wake unaweza kuwa kiasi gani?
Mwaka juzi disk top moja ushuru ilikuwa 30k hapo haujajumlisha nauli za kuisafirisha
 
Shida wakulungwa hawawezi kupa channel wabongo sijui tukoje asee
Mbongo anahisi akikupa mchongo au akishea mchongo hapa anahisi labda watanzania mil60 wote watafanaya biashara kama yake,

Na ukiangalia yeye mwenyewe hana uwezo wa kusupply kwa demand yote iliyopo.. lakjni bado atakubania...!!
Natamani tungekuwa tunashirikaiana kama wahondi wasomali na wakenya ... kwenye biashara na uchumi
 
Zanzibar vitu ghali bana hizo rahisi sijui ni wapi nimetoka Zanzibar hata week haijaisha laptop ni bei sana sana hazina tofauti na dsm
So naweza kwenda nikaishia kupoteza nauli tu??

Maana
 
Tatizo pia linakuja kumpata supplier wa uhakika huko alibaba... namna yakuzisafirisha pia kupunguza gharama ...

maana niliwahi kuongea na mhudumu silent ocean nilimuuliza akaniambia hawasafirishi vifaa vya electronic kama laptop !
 
Nilishawahi kufanya tafiti nikabaini computer nyingi hasa laptops zinapatikana alibaba na huwa zinauzwa kutokana na specs za pc husika. Mfano unaweza kupata piece 100 za used laptops kwa dola 200 na au vinginevyo kwa piece moja bei ya jumla.
Ulishawahi agiza computer kupitia Alibaba utupe uzoefu
 

Mzee, mimi nilipo huku zinapatikana used nyingi sana kwa bei tofauti tofauti. Tatizo ni gharama za huku zinaweza zisiwe rafiki kwa bongo, pili ni usafiri, tatu ni kodi za uingizaji bidhaa hizo lakini la mwisho ila siyo kwa umuhimu ni sheria za uagizaji.

Je, sheria inaruhusu uagizaji wa bidhaa tajwa, kwa urahisi gani? Maana navyoelewa siku hizi serikali zetu zinaziba mianya ya kuifanya Afrika kuwa jalala hivyo ni muhimu kuyafanyia utafiti hayo mambo kwanza
 
Vipi hawa Aliexpress kwenye uaminifu mheshimiwa
Mziho u apata ila kwa kuchelewa kama ikitumia shipping ya bei nafuu au free shipping..

Sijawahi kuagiza simu wala laptso sijajuwa kodi na utaratibu mwkngine uko vipi...
 
Uko wapi? Na gharama ziko vipi huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…