Kuna vitu itakuwa wanavikwepa hawa!
vitu gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu itakuwa wanavikwepa hawa!
Ohh! Umeeleza vizuri mkuu! Vipi kuhusu muonekano wa hizo Laptop kwa nje ukoje ? Zinamvutia mteja au zinaonekana used sana?
Maelezo mazuri mkuu! Na nimeyapokea!Kama unapesa nenda Dubai. Faida lazima upate, sijui chpchote kuhusu dubai ila kuna watu nawafahamu japo hawawezi kunipa details za huko lakini wanaenda sana kufuata Laptop huko.
Kama huwezi, na unaujuzi wa PC, tafuta kizimba machinga complex fanya mahusiano mazuri na wale jamaa utapata connection zote za kupata hata hizo no test. Ni pesa yako tu. Ila ujue na ufundi kidogo ili uwe unazifufua baadhi.
Boss nikija kariakoo duka lako liko sehemu gani,,,, mi nahitaji laptop ya kuniwezesha kuandaa taarifa na mambo madogo madogo,,,, kikubwa isiwe pasua kichwa kwamba ukiitoa kwenye chaji na yenyewe inazima au nusu saa tu inazima,,, na bajeti yangu hata nikipata hizo unazouza 250k,,, kama unaona inafaa utanisaidia zaidiinategemea na biashara yako mimi mara ya kwanza nilienda na lak 5 na apo nilirudi na desktop 3 complete nikaja dar lkn wakati nauzia geto temeke nikipost mtu akitaka namuuzia 250 so nikaenda mpaka nikafungua duka kariakoo apa ila imenichukua mwaka sasa ndio maana nikasema ni timing yako tu unaweza enda ukanunua hard disk za gb 500 kwa tsh 15000 au ukija dar unauza 25000 kwa jumla MTIANI UKO KUJUA WAPI UNANUNUA KWA BEI NDOGO MANA IZO DESKTOP ZANZBAR AWAUZI MADUKANI BALI NI MACHIMBO NA UKIFIKA KULE WENYEJI AWAKUONYESHI MACHIMBO MPAKA WAKUZOEE SANA AU UWE NA MTU AMBAE ANAYAJUA NA WANAMJUA UKO....IMENICHUKUA MWAKA KUWEZA KUJUANA NA WATU WA KULE NA KUJUANA NA WATU WA BANDALINI PALE POST SO NIKIFIKA PALE KAMA SINA HOFU JAPO SIENDI MARA KWA MARA KULE UKISHAJENGA CONNECTION NZURI WEWE NI KUPIGA SIMU TU...NA PIA USIWE MCHOYO YAANI ELA KAMA BUKU 20 USIONE TABU KUMPA DALALI ILI MAMBO YAENDE
kazi nzur bro nakupataje niachie mawasilianoiko ivi kama wewe una roho ndogo uwezi fanya hii biashara mana hasara ni kubwa hata lak 5 kwa siku na pia ina faida kubwa..mzigo kama una pesa za ukoo nenda dubai ila km unaunga unga nenda zanzbar ila unaweza enda zanzbar na usipate mzigo mana lazima uwajue wale wanaotoa mzigo dubai kuja zanzbar wao km wapo dub ai mnachati kabisa na picha wanakutumia na kma mzigo ndio unafika basi unapigiwa simu LAKINI MPAKA UPIGIWE SIMU UJUE WEWE NI CONTAWA KWELI SIO UNA MILION 2 AFU WAKUPIGIE SIMU NOOO na njia ya manunuzi ni NO TEST yaani unanunua bila kujaribu ukikuta mbovu juu yako japo utatoa ram na disk na vingine ukiuza unapata bado pesa ila lazima uwe mtaalam sana na computer sio unajua juu juu tu uwe umeiva asa kwenye ufundi..na pia mashine za uko ni new kabisa kwa muonekano ....na kuusu kutoa zanzbar kuja dar ni easy to siwezi sema apa karibuni ofcn SANGA KARIAKOO nipo aggrey na ndanda nauza computers but soon itakua nauza mazaga yote ya electronics..na kwa apa kariakoo najua anything hasa electonics na sehemu zote zinapotoka...
View attachment 1957369
View attachment 1957370
View attachment 1957371
View attachment 1957372