Ushauri kuhusu biashara ya usafirishaji mizigo

Ushauri kuhusu biashara ya usafirishaji mizigo

doctordrew

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
71
Reaction score
36
Habari wana JF,

Nina ndugu yangu ana gari ya kubebea mizigo ya tani 7, amepaki tu nyumbani. Anaomba ushauri, anawezaje kutumia kwenye biashara ya kusafirisha mizigo ili apate kipato?

Kwa yeyote mwenye ushauri mzuri karibu.
 
Habari wana jf.
Nina ndugu yangu ana gari ya kubebea mizigo ya tani 7.amepaki tu nyumbani

Anaomba ushauri...anawezaje kutumia kwenye biashara ya kusafirisha mizigo ili apate kipato?

Kwa yeyote mwenye ushauri mzuri karibu.
Ni gari aina gani tuanzie apo
 
Ni gari aina gani? Iko sehemu gani? Ni flat board au ina bomba? Tuanzie hapo
 
Kwani hio canter ameipataje?Alipew zawadi ama?
Njia rahisi ni kutafuta kijiwa na kuipaki kwaajili ya kupata wateja.Vijiwe vizuri ni kwenye masoko au karibu ni sehemu yenye hardware za vifaa vya ujenzi.

Pia akiwakaribu na eneo wanafyatua tofali pia inafaa.

Cha muhimu awe na leseni na latra na mapato
 
Back
Top Bottom