doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 36
Ni gari aina gani tuanzie apoHabari wana jf.
Nina ndugu yangu ana gari ya kubebea mizigo ya tani 7.amepaki tu nyumbani
Anaomba ushauri...anawezaje kutumia kwenye biashara ya kusafirisha mizigo ili apate kipato?
Kwa yeyote mwenye ushauri mzuri karibu.
CanterNi gari aina gani tuanzie apo
Flat board.Ni gari aina gani? Iko sehemu gani? Ni flat board au ina bomba? Tuanzie hapo