Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

Ngulutu

Member
Joined
Apr 11, 2022
Posts
29
Reaction score
25
Habari zenu wakuu,

Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi.

Naomba ushauri wakuu juu ya hili natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom