Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara wake una Anzia kiasi gani?
kiwandani?! Mbn umeniacha njia au katika upande wa kutengeneza malt katika kiwanda cha bia
Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara wake una Anzia kiasi gani?
Hii kozi ni nzuri sana, lakini kwa TZ ni vigumu sana kupata kazi kwenye Halmashauri za (w) ambazo ndo zinachukua graduate wengi, kiufupi hakuna ngazi yako katika Halmashauri za (w). eg Halmashauri zinachuua waalim, madaktari mabwana mifugo etc. ila kuanzia mwaka jana baadhi ya wizara zimeanza kuwatambua graduate wa mol.Biol& Biotech. eg wizara ya kilimo imewaajiri wengi tuu na kuwapeleka kwenye centers zao Mikocheni (MARI),Mbeya, Mwanza etc. Wizara ya mifugo nayo itawahitaji vijana wanaojua molecular biology hasa baada ya Agency yao(CVL) kuanza kazi rasmi. vilevile kuna graduate wengi wanafanya research na centers za hapa nchini. eg. NIMRI, Ifakara centers, KCMC, na miradi mingi ya utafiti iliyopo Universities eg SUA, UDSM, KCMC,Bugando, Muhimbili, etc Unaweza vilevile kuajiliwa na Private centers like pharmaceutical industry, Breweries company, Environmental care centers, Private universities as a Tutor (universities nyingi zinafundisha intr. to mol. biol&Biotech na hawana waalim). Mwisho unaweza kujiajiri, mpaka sasa nishaona group mbili waliojiajiri tayari, Moja ni graduate wa SUA ambao wamejiunga na graduate wenzao wa medical field na kuanzisha Diagnostic lab DSM. wanapima malaria, TB, HIV,MIMBA, Kisukari. etc. Group ya pili ni graduate wa UDSM ambao wameanzisha kampuni ya kuzoa Biological waste from different industries, Hospitals etc and they properly dispose those waste as per biological safety rules and regulation rqments. Hawa wameingia ubia na hospital kadhaa jijini na wana zoa Syringes, contaminated gloves, Pamba, etc. kiufupi uchafu wote wa hospital. group hili limeajiri graduate wenzao wapatao 50. Kama unasoma kazana ufaulu opportunity zipo nyingi zinakuja kwani hii ni kozi mpya sana nchini. wanaoajiriwa Wizarani Range ya mshahara ni kati ya laki 5-8.5. Private nyingi ni laki 9- million 3.5 inategemea kazi na umuhimu wako hapo kazini, ila ni contract basis na sio permanent.
Unapaswa kufungua macho kijana na kufikiria katika daraja la dunia hali ya kuwa ukitekeleza katika mazingira yetu yaani Think globally and act locally, futa fikra za kuajiriwa anza kozi yako ukiwa na maono ya kujiajiri na ikitokea ukaajiriwa basi iwe ni by the way ila swala la mishahara halina kanuni kunutofauti mkubwa baina ya kampuni na kampuni mathalani ukiwa katika vituo vya utafiti kunakuwa na fursa nyingi zaidi kuliko kufanya kazi katika viwanda vya vyakula na vinywa na kama unataka figure, entry salary ni baina ya 5 k to 1.8K it depend where you are.
Chamsingi hakikisha kozi unayochukua inaweza kukupelekea kujiajiri.
Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara wake una Anzia kiasi gani?
Hii sio kivile and nahisi ninaweza pelekwa pande hizi..!! But kiukweli nilikua sina hobby nayo kivile..!! Ma hobby was BVM
kama hobby ni Veterinary Medicine kilichokuzuia ni nini ? b'coz wengi wanaihofia na mkopo ni 100%. Ila nina wasiwasi kama BVM utaiweza ww, siasa nyingi mno kwanini usiende rural development? una div.gani dogo?
Hii sio kivile and nahisi ninaweza pelekwa pande hizi..!! But kiukweli nilikua sina hobby nayo kivile..!! Ma hobby was BVM