USHAURI KUHUSU CASE ZENYE TITLE YA "UCHOCHEZI"

USHAURI KUHUSU CASE ZENYE TITLE YA "UCHOCHEZI"

Joined
Nov 23, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Nashauri ni wakati mwafaka sasa kwa Wanasheria, wanaharakati na viongozi wote wa vyama vya Siasa kulishinikiza bunge kufanya Amendment kwenye sheria hii, maana ni useless na inaleta attentions kwa Taifa zisizokuwa na Msingi na kuwafanya wananchi kuacha kufanya Shughuli za Maendeleo pale viongozi wanapokamatwa kwa kesi za Uchochezi. Pia in picha ya ukandamizwaji kwa mbali, nadhani sharia hii haifai kuwepo karne ya 21 ni ya karne za nyuma sana, kipindi ambacho watu walikuwa hawajaelemika pia kusambaa kwa Taarifa hakukuwa rahisi.
 
Back
Top Bottom