Nichukue nafasi hii kuwakaribisha Pius High School. Ni shule ya kutwa na Bweni yenye mazingira Bora sana. Tunapokea wanafunzi wa KIDATO Cha Tano Kwa muhula wa masomo 2023/2024 katika tahasusi zifuatazo PCB, PCM, CBG, EGM, HKL, HGL, HGK, PGM na HGE. Uteuzi unategemeana na matokeo ya KIDATO Cha nne 2022. Muombaji anatakiwa kuwa na angalau D mbili katika tahasusi anayotaka kusoma na matokeo ya jumla ya daraja la tatu. Tunapokea pia wanafunzi wa kuhamia Kwa KIDATO Cha kwanza, tatu na sita Kwa mwaka 2023. Ada zetu ni nafuu na hulipwa Kwa awamu. Kwa maelekezo zaidi, tafadhali wasiliana nami 0613162459. Shule ipo kata ya Toangoma-mbagala, Dar es salaam. Karibuni.