Ushauri kuhusu course za afya diploma

Ushauri kuhusu course za afya diploma

nemnunu

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
74
Reaction score
64
Habarini wana jamvi,

Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C.

Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
 
Habarini wana jamvi,

Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C.

Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri.

Kozi za afya kwa sasa zenye nafasi kubwa ya kuajirika ni.
Uuguzi
Radiolojia
Dental
Maabara
Famsi hii kujiajiri pia
Utabibu
Uafisa afya
Physiotherapy

Kila jema.
 
Asante sqna
 
Back
Top Bottom