nemnunu Member Joined Jun 4, 2019 Posts 74 Reaction score 64 Jul 4, 2022 #1 Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jul 5, 2022 #2 nemnunu said: Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa? Click to expand... Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri. Kozi za afya kwa sasa zenye nafasi kubwa ya kuajirika ni. Uuguzi Radiolojia Dental Maabara Famsi hii kujiajiri pia Utabibu Uafisa afya Physiotherapy Kila jema.
nemnunu said: Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa? Click to expand... Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri. Kozi za afya kwa sasa zenye nafasi kubwa ya kuajirika ni. Uuguzi Radiolojia Dental Maabara Famsi hii kujiajiri pia Utabibu Uafisa afya Physiotherapy Kila jema.
nemnunu Member Joined Jun 4, 2019 Posts 74 Reaction score 64 Jul 5, 2022 Thread starter #3 jiwe angavu said: Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri. Kozi za afya kwa sasa zenye nafasi kubwa ya kuajirika ni. Uuguzi Radiolojia Dental Maabara Famsi hii kujiajiri pia Utabibu Uafisa afya Physiotherapy Kila jema. Click to expand... Asante sqna
jiwe angavu said: Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri. Kozi za afya kwa sasa zenye nafasi kubwa ya kuajirika ni. Uuguzi Radiolojia Dental Maabara Famsi hii kujiajiri pia Utabibu Uafisa afya Physiotherapy Kila jema. Click to expand... Asante sqna