Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Nipo na familia mkuu. Vipi kwani hayo maeneo uliyoyataja hayafai kwa mtu mwenye familia?Ok ngoja waje
Una familia kwanza ? Kma yes buza kutakuwa available kwako japo watu wanasema ni uswahilini Ila buza zipo maeneo tofaut tofaut,
Kama bachelor ukisogea huku Darajani, kisiwani, hukosi room nzuri ukachill
Yanafaa lakini nyumba zitakuwa ghali navyohisiNipo na familia mkuu. Vipi kwani hayo maeneo uliyoyataja hayafai kwa mtu mwenye familia?
Nikitaka chumba na sebule tu unadhani gharama ita- range vipi?Yanafaa lakini nyumba zitakuwa ghali navyohisi
80-150k,Nikitaka chumba na sebule tu unadhani gharama ita- range vipi?
Hii si mbaya sana. Huko Buza je?80-150k,
Sijajua huko Ila hakutofautiani sanaHii si mbaya sana. Huko Buza je?
Nashukuru sana kwa mchango wako.Sijajua huko Ila hakutofautiani sana