Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wa kizaman 2008/9 mwambie achukue hii mashineNunua mkwaju uwoo. .......weka mbali na watoto.![]()
Tandale itapita kweli mkuuu??? Difu iko chini sanaa na waza[emoji87]Huu wa kizaman 2008/9 mwambie achukue hii mashine![]()
![]()
![]()
Moja wapo kati ya hizo,,,usiogope kuhusu spare wala ulaj wa mafuta,,ukinunua gar umejiandaaa
Mkuu unafanya inda sasa 😀 kama nini achukue S class au 7 series 2015Huu wa kizaman 2008/9 mwambie achukue hii mashine![]()
![]()
![]()
Moja wapo kati ya hizo,,,usiogope kuhusu spare wala ulaj wa mafuta,,ukinunua gar umejiandaaa
Na ukiwa tandale hii haikufaiTandale itapita kweli mkuuu??? Difu iko chini sanaa na waza[emoji87]
Bro,tafuta Toyota probox, very economical 17km per litre
Inapita mzee anaweka spencer inanyanyuka juu kidogooTandale itapita kweli mkuuu??? Difu iko chini sanaa na waza[emoji87]