Sio mtaalam wa magari,wataalam wanakuja.
Ila kama una gari nyingine ya kutumia mbali na hiyo basi nunua.
Lakini kama huna basi kimbia,gari hizo baadhi ya Model aina ya Honda ni balaa,kwanza haiuziki mtaani.Sasa ukinunua milioni 10 basi ukitaka kuuza utapewa milioni 4 ndani ya mwaka.
Ni Gari zenye usumbufu sana na very complicated kwenye matatizo yake na matengenezo yale,mafundi wengi sana zinawapa Tabu.
Hizo ni sawa na HYUNDAI