Ushauri kuhusu hili gari unahitajika

Ushauri kuhusu hili gari unahitajika

Yabice

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
20
Reaction score
4
Kwa wazoefu na wataalam wa magari naombeni ushauri wenu. Sina uzoefu wowote kuhusu magari ila nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi binafsi na nimepata muuzaji mmoja anataka niuzia Honda avancier.
Tafadhali mwenye uzoefu anipe dondoo.
 
Sio mtaalam wa magari,wataalam wanakuja.

Ila kama una gari nyingine ya kutumia mbali na hiyo basi nunua.
Lakini kama huna basi kimbia,gari hizo baadhi ya Model aina ya Honda ni balaa,kwanza haiuziki mtaani.Sasa ukinunua milioni 10 basi ukitaka kuuza utapewa milioni 4 ndani ya mwaka.
Ni Gari zenye usumbufu sana na very complicated kwenye matatizo yake na matengenezo yale,mafundi wengi sana zinawapa Tabu.
Hizo ni sawa na HYUNDAI
 
cylinder head milioni moja utaweza ukiweza sawa
 
Back
Top Bottom